Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017.

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017.

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017.

Mwambawahabari

9857-Mhe.Chenge

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza  kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9466-Jafo
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9724-Mhe.Kigwangalla
 Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla  akifafanua jambo katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.

9703-Mhe.Ngonyani
Naibu Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9518-Mhe.Mwigulu
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9602-Mhe.Kamwelwe
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9647-Mhe.Ole Nasha
 Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9446-Mbunge wa Itilima Njalu Silanga
 Mbunge wa Itilima(CCM) Mhe.Njalu Silanga akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9679-Mhe.Maige
 Mbunge wa Msalala (CCM) Mhe.Ezekiel Maige akiuliza swali katika kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9753-Lukuvi na Mdee
Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akizungumza jambo na Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee katika  kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
9592-Mhe.Mhagama akimsikiliza mavunde
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu wake Mhe.Anthony Mavunde katika  kikao cha thelathini na Moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 22, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017.

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_22.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 31, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 22, 2017."

Post a Comment

Loading...