Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017.
link : MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017.
MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017.
MwambawahabariMwenyekitiwa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Najma Giga akiongoza kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Kaliua(CUF) Mhe.Magdalena Sakaya katika kikao cha 37 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 30, 2017.
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe,Prof.Joyce Ndalichakoakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
WaziriwaNchiOfisiyaRaisUtumishinaUtawala Bora Mhe.AngelinaKairukiakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
NaibuWaziriwaAfya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,WazeenaWatotoMhe.KhamisKigwangallaakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
NaibuWaziriwa Mambo yaNjenaUshirikianowaAfrikaMasharikiMhe.Dk.SusanKolimbaakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
WaziriwaViwanda,BiasharanaUwekezajiMhe. Charles Mwijageakijibumaswalimbalimbaliyawabungekatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
WaziriwaFedhanaMipangoMhe.Dk.PhilipMpangoakisomaHotubayaMakadirioyaMapatonaMatumiziyaWizarayaFedhanaMipangokwamwakawaFedha 2017/2018 katikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
MbungewaVitiMaalum (CCM) Mhe.FaidaBakarakiulizaswalikatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
MbungewaVitiMaalum (CCM) Mhe.AminaMollelakiulizaswalikatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
WaziriwaHabari,Utamaduni ,SanaanaMichezoMhe.Dk.HarrisonMwakyembeakizungumzajambonaNaibu wake Mhe.AnastaziaWamburakatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
WaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuuSera,Bunge,Ajira,Kazi,VijananaWatuwenyeUlemavuMhe.JenistaMhagamaakijadilijambonaMbungewaIringaMjini(CHADEMA) Mhe.PeterMsigwakatikakikao cha 37 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11 leoMjini Dodoma Mei 30, 2017.
MwanasheriaMkuuwaSerikaliMhe.GeorgeMasajuakifafanuajambokatikakikao cha 35 cha Mkutanowa Saba wa Bunge la 11leoMjini Dodoma Mei 26, 2017.Kushoto kwakeni WaziriwaNchiOfisiyaWaziriMkuuSera,Bunge,Ajira,Kazi,VijananaWatuwenyeUlemavuMhe.JenistaMhagamanaKulianiNaibuWaziriwaNishatinaMadiniMhe.Dk.MedardKalemani.
PichazotenaDaudiManongi,MAELEZO,DODOMA.
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/matukio-katika-picha-yaliyojiri-katika_30.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 37, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 30, 2017."
Post a Comment