Loading...

MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI

Loading...
MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI
link : MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI

soma pia


MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI

Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)  Mhe. Jumaa Aweso kulia akimkabidhi vitanda kimoja kati ya 25 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Bw. Sabas Chambasi ambavyo ni miongoni mwa mgao wa vifaa tiba walivyopewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya wilaya ya Pangani kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani, Mhe. Zainabu Issa 
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Mhe. Jumaa Aweso kulia akimkabidhi mgao wa mashuka 50 kutoka kwa Rais John Magufuli Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Bw. Sabas Chambasi kwa ajili ya kusaidia huduma za afya kwenye wilaya ya Pangani katika halfa iliyofanyika kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani juzi wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani, Mhe. Zainabu Issa 
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)  Mhe. Jumaa Aweso akizungumza katika halfa hiyo ambapo alimshukuru Rais John Pombe Magufuli kwa kuona umuhimu wa kusaidia vifaa tiba wilaya ya Pangani
Mkuu wa wilaya ya Pangani Mhe. Zainabu Issa akizungumza katika halfa hiyo kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akizungumza katika makabidhiano hayo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA



Hivyo makala MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI

yaani makala yote MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mbunge-aweso-amshukuru-rais-dktmagufuli_28.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS DKT.MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI"

Post a Comment

Loading...