Loading...
title : Mkutano wa sheikh shariff majini kuendelea kwa siku tatu zaidi jijini Arusha
link : Mkutano wa sheikh shariff majini kuendelea kwa siku tatu zaidi jijini Arusha
Mkutano wa sheikh shariff majini kuendelea kwa siku tatu zaidi jijini Arusha
Baada ya kufanya mkutano mkubwa sana Sheikh Shariff Majini ameongeza siku tatu za kusikiliza shida za wakaazi wa Arusha ili afanye dua kwa ajili yao.
Maamuzi ya kukaa siku tatu zaidi Jijini Arusha yametokana na maombi ya wakazi wa Arusha waliojitokeza kwa wingi katika mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa C.C.M Mkoa wa Arusha.
Kwa wakaazi wa Arusha wamtafute Sheikh kwa namba 0715-581552 watapewa utaratibu wa wapi Sheikh anapopatikana.
Baada ya kumaliza mkoa wa Arusha, Sheikh Shariff anatarajia kuendelea kufanya mkutano mwingine Mkoa wa Tanga katika ukumbi wa C.C.M Mkoa Jumamosi tarehe 10 Juni na Jumapili tarehe11 Juni.
Wabillahi Tawfiq.
Baadhi ya wakazi waliojitokeza kwenye mkutano wa sheikh Shariff katika ukumbi wa C.C.M Mkoa wa Arusha
Sheikh shariff Majini akiongoza mkutano huo jijini Arusha
Baadhi ya wakazi waliojitokeza kwenye mkutano wa sheikh jijini Arusha
Sheikh shariff Majini akiongoza mkutano huo jijini Arusha
Hivyo makala Mkutano wa sheikh shariff majini kuendelea kwa siku tatu zaidi jijini Arusha
yaani makala yote Mkutano wa sheikh shariff majini kuendelea kwa siku tatu zaidi jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkutano wa sheikh shariff majini kuendelea kwa siku tatu zaidi jijini Arusha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mkutano-wa-sheikh-shariff-majini.html
0 Response to "Mkutano wa sheikh shariff majini kuendelea kwa siku tatu zaidi jijini Arusha"
Post a Comment