Loading...

MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI

Loading...
MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI
link : MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI

soma pia


MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI

Mbunge wa jimbo la Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula hii leo ameikaribisha bungeni timu ya mpira wa miguu ya Ilemela Jijini Mwanza Mbao Fc 

Ikumbukwe kuwa huu ni mwendelezo wa jitihada za mbunge huyo za kuhakikisha anainua michezo katika jimbo la Ilemela na kutoa fursa kwa vijana kuonyesha na kuvitumia vipaji walivyonavyo katika kujiongezea kipato, Mhe Dkt Angeline Mabula amesema 

‘… Huu ni mwendelezo wa jitihada za kila siku ninazozifanya za kuhakikisha tunaboresha michezo yetu lakini pia kuifanya kuwa chanzo cha kipato katika kuendesha maisha ya kila siku ya vijana wetu wa Ilemela na Tanzania kwa ujumla wake …’

Nao wachezaji wa Timu hiyo wamemshukuru Mbunge wao Dkt Angeline Mabula  kwa jitihada zake za kuboresha na kukuza michezo jimboni humo huku wakimuahidi ushindi katika mechi yao ya hatua ya fainali ya Kombe la FA dhidi ya Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam wanayotarajia kuicheza siku ya jumamosi mjini Dodoma 

“ Ilemela ni yetu, tushirikiane kuijenga ”

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge 
Jimbo la Ilemela
25.05.2017


Hivyo makala MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI

yaani makala yote MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mbunge-wa-ilemela-aikaribisha-timu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE WA ILEMELA AIKARIBISHA TIMU YA MBAO FC BUNGENI"

Post a Comment

Loading...