Loading...

MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO

Loading...
MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO
link : MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO

soma pia


MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO

Watanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kuzifuata fursa zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini ili kuiunga mkono Serikali katika jitihada zake za kukuza uchumi wa viwanda.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya ubungo Ndg John Lipesi Kayombo wakati akizungumza wakati akitoa taarifa ya mbio za Mwenge unaotaraji kuzuru katika Manispaa ya Ubungo Tarehe 31, Mei 2017.

Alisema kuwa katika mikoa mbalimbali Mwenge wa Uhuru ulipopita umekutana na fursa ambazo Watanzania wakizitafuta na kuzifanyia kazi wataondokana na uvivu, kukaa bila kufanya kazi na umasikini kwa kuwa sasa Serikali iliyopo madarakani ni ya kazi.

Aliongeza kuwa, nchi nyingi zimekuwa kiuchumi kupitia viwanda na kwa kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imedhamiria kukuza uchumi wa viwanda, wananchi wanapaswa kuzichangamkia fursa mbalimbali ili kufanikisha dhamira ya Serikali kufikia uchumi wa viwanda.

MD amesema kuwa Mwenge wa Uhuru katika Manispaa ya Ubungo utapita katika Miradi mitano ya Maendeleo ambapo Miradi minne kati ya hiyo itazinduliwa na Mradi mmoja wa Ujenzo wa Kituo cha Polisi Gogoni utawekwa jiwe la Msingi.

Alisema kuwa Miradi yote hiyo itakayotembelewa na Mwenge wa Uhuru mwaka 2017 itagharibu jumla ya shilingi Bilioni 2,854,647,991.89

Imetolewa Na;
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo
Mkurugenzi wa Manispaa ya ubungo Ndg John Lipesi Kayombo.


Hivyo makala MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO

yaani makala yote MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/md-kayombo-ashauri-watanzania-kufuata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MD KAYOMBO ASHAURI WATANZANIA KUFUATA FURSA ZILIPO"

Post a Comment

Loading...