Loading...
title : REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO
link : REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO
REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO
Mwakilishi wa taasisi ya Rehema foundation ,Zuber akigawa chakula kwa ajili ya futari kwa wakazi wa Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na taasisi yao kutoka kwa wanancha mbali mbali wa nchi ya Uturuki kwa kipindi hiki cha Ramadhani
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rehema ,Mustafa Diriel akigawa mifuko ya futari kwa wasiojiweza na wazee wa kijiji cha Kilomo Bagamoyo Pwani.Chakula hicho kimechangishwa na watu mbali mbali katika inchi ya Uturuki
Mohamedd akimpatia mzee Miraji fuko lake la futari katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Wafanyakazi wa taasisi ya Rehema Foundationi wakigawa mifuko ya chakula
Mbunge wa Bagamoyo akiwa na timu mzima ya Taasisi ya Rehema na wakazi wa kilomo baada ya kupewa msaada huo.
Hivyo makala REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO
yaani makala yote REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rehema-foundation-yagawa-futari-kijiji.html
0 Response to "REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO"
Post a Comment