Loading...

MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

Loading...
MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA
link : MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

soma pia


MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakifatilia Mkutano huo wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akitoa taarifa ya matokeo ya utendaji wa Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka uliopita. Mkutano huo unafanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akiwasilisha taarifa ya matokeo ya utendaji wa Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka uliopita, katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB PLC, Ally Hussein Laay akiwasilisha taarifa ya Mwaka na Matokeo ya Kifedha ya Benki hiyo pamoja na Kampuni zake Tanzu kwa mwaka ulioishia Disemba 2016, katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
 Meza kuu katika katika Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akitoa muongozo kwa wajumbe wa Mkutano huo, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajone akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Mkutano huo, unaofanyika leo Mei 20, 2017 kwenye Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.



Hivyo makala MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

yaani makala yote MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mkutano-mkuu-wa-22-wa-wanahisa-wa-benki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUTANO MKUU WA 22 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA"

Post a Comment

Loading...