Loading...

MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI

Loading...
MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI
link : MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI

soma pia


MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI


Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Talaba amewataka Watanzania kupenda kununua bidhaa zinazozalishwa hapa nchini ili kwenda sambamba na sera ya Tanzania yenye viwanda pamoja na kuimarisha uchumi wetu.

Amesema hayo wakati akizindua Baraza la Biashara Wilaya ambapo alishangazwa na baadhi ya kuamini kuwa bidhaa zinazozalishwa nchini hazina ubora na hivyo kukimbilia za nje.

Talaba ambaye pia ni mwenyekiti wa Baraza la Biashara Wilaya alisema bidhaa zetu zina ubora kutokana na kutumia malighafi halisi akitolea mfano viatu vinavyozalishwa na Watanzania ukilinganisha na vinavyotoka nje ya nchi ambavyo vingi havidumu.

”Tufike mahali sasa tununue bidhaa zetu ili fedha izunguke kwani tutaimarisha uchumi na kama tunavyofahamu lengo la Rais katika sera ya nchi ya viwanda anataka tununue bidhaa zetu.

Mkuu huyo wa wilaya alilitaka baraza liwe chachu ya kusukuma sera ya nchi ya viwanda na kuibua fursa ambazo wananchi waananchi wanaweza kuzitumia na kuanzisha biashara.

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Nyabaganga Talaba akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza la Biashara Wilaya alilozindua rasmi. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Shinyanga (SHIREMA), Gregory Kibuse). 
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Nyabaganga Talaba akiangalia bidhaa za vigae zilizotengezwa kwa kutumia majani ya mkonge wakati wa maonesho ya wajasiliamali kabla ya uzinduzi wa Baraza la Biashara Kishapu.

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Nyabaganga Talaba akiangalia bidhaa za vigae zilizotengezwa kwa kutumia majani ya mkonge wakati wa maonesho ya wajasiliamali kabla ya uzinduzi wa Baraza la Biashara Kishapu. 



Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI

yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mkuu-wa-wilaya-ya-kishapu-awataka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA WILAYA YA KISHAPU AWATAKA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZA NYUMBANI"

Post a Comment

Loading...