Loading...

Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi

Loading...
Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi
link : Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi

soma pia


Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi

  Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi akimfariji Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar  Ndugu Vuai Ali Vuai aliyefiwa na Mama yake Mzazi Bibi Mwanaisha Hassan Vuai aliyezikwa kijijini kwao Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja.
 Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsalia Bibi Mwanaisha Hassan Vuai katika Msikiti wa Ijumaa Bwejuu aliyefariki Dunia jana katika Hospitali ya Global alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

 Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu na Viongozi wa Serikali na Kisiasa wakimuombea Dua Marehemu Bibi Mwanaisha Hassan Vuai baada ya kumsalia kwenye Msikiti wa Ijumaa wa Bwejuu Mkoa Kusini Unguja.
 Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu na Viongozi wa Serikali na Kisiasa wakimuombea Dua Marehemu Bibi Mwanaisha Hassan Vuai baada ya kumsalia kwenye Msikiti wa Ijumaa wa Bwejuu Mkoa Kusini Unguja.
Balozi Seif Ali Iddi kushoto akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa Kusini Unguja Nd. Ramadhan Abdullah  Ali wakati wa msiba wa Mama Mzazi wa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar hapo Bwejuu Mkoa Kusini Unguja.

Picha na – OMPR – ZNZ.



Hivyo makala Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi

yaani makala yote Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/naibu-katibu-mkuu-mstaafu-wa-ccm-afiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM afiwa na mama yake mzazi"

Post a Comment

Loading...