Loading...

NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI

Loading...
NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI
link : NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI

soma pia


NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI



mwambawahabari

Displaying IMG_9026.JPG
Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Hamisi Kingwangalla akiongea na Mzee Maige ambaye amelazwa kwenye chumba cha kitengo cha dharura cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo asubuhi ya leo mzee huyo alihamishiwa hapo kwa uchunguzi wa afya na matibabu zaidi kutoka hospitali ya Rufaa ya Amana.
Displaying IMG_9034.JPG

 Daktari Bingwa wa magonjwa ya dharura Renatus Tarimo(kushoto)  akimueleza Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto jinsi walivyompokea na kumuhudumia kwenye kitengo chao na hali ilivyo hadi sasa,Dkt. Tarimo amesema hali ya Mzee maige inaendelea vizuri na wameshamfanyia uchunguzi wa awali na wanaendelea na uchunguzi zaidi

Displaying IMG_9041.JPG
Mkuu wa Kitengo cha Dharura Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga (katikati) akimueleza jambo Naibu Waziri Dkt. Kingwangalla mara baada ya kutoka kwenye chumba alicholazwa Mzee Maige.Mzee Maige au kwa jina maarufu anajulikana kama Ngosha ndiye aliyebuni Nembo ya Taifa ambayo inatumika hadi sasa nchini.

Displaying IMG_9051.JPG

Naibu Waziri Dkt.Kingwangalla akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Dharura Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt.Mfinanga(kulia) mara baada ya kumjulia hali Mzee aliyebuni nembo ya Taifa Mzee Francis Maige kwenye ofisi ya mkurugenzi wa Hospitali hiyo,kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Profesa Laurence Maseru

Displaying IMG_9022.JPG

 Mzee Maige akiongea na Naibu Waziri,Wizara ya Afya,maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Kingwangalla(Picha na Catherine Sungura-WAMJW)


Hivyo makala NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI

yaani makala yote NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/naibu-waziri-dkkingwangalla-amtembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI DK.KINGWANGALLA AMTEMBELEA MZEE MAIGE MUHIMBILI"

Post a Comment

Loading...