SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII. - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.link :
SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.
SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.
Sheikh Shariff Majini kutoka jijini Dar es salaam ambaye kwa sasa yupo ziarani katika baadhi ya mikoa Tanzania Bara, Jumapili tarehe 28-05-2017 atafanya kongamano kubwa kwa ajili ya akina Mama wa Jijini Arusha katika ukumbi wa CCM Mkoa kuanzia saa mbili asubuhi.
Matayarisho yote yamekwisha malizika na Sheikh ameshawasili Jijini Arusha tayari kabisa kwa ajili ya kuendesha kongamano hilo.
Pamoja na kongamano hilo Sheikh atafanya visomo kwa ajili ya kuwaombea watoto wanafunzi wa Shule ya Lucky Viscent ya Arusha waliofariki katika ajali ya gari. Pamoja na watoto watatu walionusurika wanaopata matibabu Marekani ili wapate nafuu haraka waweze kurejea kwenye masomo yao.
Hivyo makala SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII.
yaani makala yote SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/sheikh-sharif-majini-kufanya-kongamano.html
Related Posts :
Swali la Mama Salma Kikwete kwa Waziri Mkuu Kuhusu Ufisadi wa Bilioni 30 za Koroshomwambawahabari
Mbunge wa Kuteuliwa, Salma Kikwete (CCM), ameeleza kushangazwa kwa kitendo cha Serikali kukaa kimya juu ya ubadhirifu wa … Read More...
WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA NGOMA NA MUZIKI ASILI TANZANIA.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe akipokea zaswadi ya Ngoma kutoka kwa Chama cha Ngoma za na Muzik… Read More...
MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR
Simba imepeleka maombi kwa Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro kuomba kuandamana.
Simba kupitia Rais wake, Evans A… Read More...
DIAMONDPLUTNAMZ AZINDUA PAFYUM YAKE AINA YA (CHIBU), YAINGIA RASMI KWENYE SOKO, KUPATIKANA MADUKA YOTE YA GSMmwambawahabari
Mwanamuziki Naseeb Abdul aka Diamond Plutnamz akiwasili kwenye maduka makubwa ya GSM Mall Barabara ya Nyerere leo tayari kw… Read More...
POLEPOLE AANZA KUZITEMBELEA HALMASHAURI ZA MANISPAA ZA DAR
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, leo ameanza ziara ya kutembelea Halmashauri za Manispaa z… Read More...
0 Response to "SHEIKH SHARIF MAJINI KUFANYA KONGAMANO MKOANI ARUSHA JUMAPILI HII."
Post a Comment