Loading...

Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari

Loading...
Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari
link : Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari

soma pia


Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari

Mwambawahabari



Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego amedai remix ya wimbo ‘Wapo’ kwaajili ya  Rais John Pombe Magufuli iko tayari na inaweza kuachiwa muda wowote.

Rais Magufuli  aliufungulia  wimbo huo baada ya kufungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kigezo cha maadili na kumtaka rapa, Nay wa Mitego kuongeza baadhi ya maneno katika wimbo huo ili uwaguse watu wengi zaidi.

Nay wa Mitego amedai remix ya wimbo huo iko tayari na ameongeza vitu vingi ndani ya wimbo huo.

“Kusema kweli wimbo wa Mh Rais umekamilika na muda wowote unaweza kutoka.

“Nimeongeza mambo mengi ndani yake, kwahiyo mashabiki wakae mkao wa kula kwaajili ya moto mwingine kwa sababu bado ‘Wopo’ yenyewe inaendelea kufanya vizuri,”

Rapa huyo amedai hawezi kusema ni lini project hiyo itatoka.

Katika hatua nyingine rapa huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kuendelea kumuunga mkono katika muziki wake pamoja na kujitokeza kwa wingi katika tour yake ya  ‘Wapo’ ambayo imeingia ndani ya jiji la Dar es salaam.


Hivyo makala Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari

yaani makala yote Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/nay-wa-mitego-remix-ya-wimbo-wapo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nay wa Mitego: Remix ya wimbo WAPO ya Rais Magufuli iko tayari"

Post a Comment

Loading...