Loading...

NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA

Loading...
NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA
link : NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA

soma pia


NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA

to Habari, Uhuru, MUHIDIN, Full, KASSIM, fullshgwe, Michuzi, Blogs, Bongoweekend, BLOG, Ahmad, Blog, KASSIM, John, Odoyo, blog, Mohed, Nipashe, Zanzibar, Mwananchi, Zanzibar, Changamoto, Gazeti, Picha, Majira



Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA,  kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mhe. Dr. Elly Marko Macha aliyefariki tarehe 31 Machi 2017.

Akitoa taarifa ya nafasi hiyo kuwa wazi Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Mhe. Semistocles Kaijage amesema kuwa kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameijulisha Tume juu ya kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge huyo.

Amesema taratibu za kujaza nafasi hiyo zinaendelea kwa kuzingatia Ibara ya 78 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.


Hivyo makala NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA

yaani makala yote NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/nec-yatangaza-nafasi-wazi-ya-kiti-cha_2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEC YATANGAZA NAFASI WAZI YA KITI CHA MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA MHE. DR. ELLY MARKO MACHA"

Post a Comment

Loading...