Loading...
title : MASHINDANO YA QUR'AN YA AISHA SURURU FOUNDATION 2017
link : MASHINDANO YA QUR'AN YA AISHA SURURU FOUNDATION 2017
MASHINDANO YA QUR'AN YA AISHA SURURU FOUNDATION 2017
Masheikh wa dini ya Kiislam na viongozi wakubwa akiwamo Sheikh Basaleh na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad, kwenye mashindano ya Qur'an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.
.
Mgeni wa heshma, Mke wa Makamu wa Rais Mstaafu, Mama Gharib Bilal, akitoa nasaha kwa waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika mashindano ya Qur'an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.
Mwanaharakati wa kijamii, Mwenyekiti na Mlezi wa Mashindano ya Qur'an ya Aisha Sururu Foundation, Bi Aisha Sururu, akitoa nasaha kwa waumini wa dini ya Kiislam waliohudhuria katika mashindano ya Qur'an yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya waumini wa Kiislam waliohudhuria kwenye mashindano ya Qur'an kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya waumini wa Kiislam waliohudhuria kwenye mashindano ya Qur'an kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala MASHINDANO YA QUR'AN YA AISHA SURURU FOUNDATION 2017
yaani makala yote MASHINDANO YA QUR'AN YA AISHA SURURU FOUNDATION 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHINDANO YA QUR'AN YA AISHA SURURU FOUNDATION 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mashindano-ya-quran-ya-aisha-sururu.html
0 Response to "MASHINDANO YA QUR'AN YA AISHA SURURU FOUNDATION 2017"
Post a Comment