Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO
link : RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO
RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiswasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 ,akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 ,akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 2, 2017 ,akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Dar es salaam na kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya mkoa huo Kamishna Simon Sirro baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2017 akitokea mkoani Kilimanjaro alikokuwa kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-dkt-magufuli-arejea-dar-es-salaam.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AREJEA DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU MKOANI KILIMANJARO"
Post a Comment