Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR
link : RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR
RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara mbalimbali wa nchini pamoja na Afrika ya Kusini wakati aliposhiriki pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara jijini Dar es Salaam.
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisoma hotuba yake katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kutoka kwenye Jukwaa hilo la Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Afrika Kusini waliohudhuria katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-dkt-magufuli-pamoja-na-mgeni-wake.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA WAHUDHURIA KATIKA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR"
Post a Comment