Loading...

Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo

Loading...
Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo
link : Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo

soma pia


Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo

Rais mteule wa Ufaransa, Emmanuel Macron anataraji kuapishwa leo Jumapili kuongoza nchi hiyo, akiwa ni rais wa kwanza mwenye umri mdogo kuwahi kuongoza taifa hilo.

Kuapishwa kwa Macron kunakuja huku akiwa anakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kufufua uchumi na kuleta pumzi mpya ya uhai ndani ya umoja wa Ulaya

Macron anaapishwa kuchukua nafasi ya rais anayemaliza muda wake, Fancois Hollande ambaye miaka yake mitano madarakani ilikumbwa na ukosefu mkubwa wa ajira na mashambulizi ya kigaidi.

Baada ya kupita katika zulia jekundu katika Ikulu ya Elyzee katikati mwa jiji la Paris, Macon na Hollande watakuwa na mazungumzo ya faragha katika ofisi ya rais ambako Macron atakabidhiwa namba za kufungua silaha za Nuclear za Ufaransa.


Hivyo makala Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo

yaani makala yote Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/rais-mpya-wa-ufaransa-kuapishwa-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Mpya wa Ufaransa kuapishwa leo"

Post a Comment

Loading...