Loading...

SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE

Loading...
SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE
link : SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE

soma pia


SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Timu ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 Serengeti Boys wameendelea limbwi la ushindi baada ya jana kutoka kifua mbele kwa kuifunga Cameroon katika mchezo wa kirafiki uliofanyika nchini Cameroon.

Timu hizo zitarudiana tena  katika mchezo mwingine wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kesho Jumatano, Mei 3, mwaka huu.

Mbali na hilo, Afisa habari wa Shirikisho Alfred Lucas amesema kuwa timu ya Serengeti Boys imebadilishiwa kituo kutoka Port Gentil na sasa imepangiwa Libreville.

Serengeti Boys imepangwa kundi B pamoja na timu za Niger, Angola na Mali ambako watafungua nayo mchezo Mei 15, mwaka huu. Kwa mabadiliko hayo, Kundi A lenye timu za Cameroon, Ghana, Guinea pamoja na wenyeji Gabon, litakuwa Port Gentil.

Kwa sasa Serengeti Boys wako Cameroon kwa kambi ya wiki moja iliyoanza Aprili 29, mwaka huu ambako tayari imecheza na wenyeji Cameroon mchezo mmoja na kushinda bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika jijini Yauonde. 

Timu ya Serengeti inahitaji kushinda mechi mbili za mwanzo ili kujihakikishia nafasi ya kwenda kombe dunia  la vijana chini ya miaka 17 litakalofanyika nchini India.


Hivyo makala SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE

yaani makala yote SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/serengeti-boys-yabadilishwa-kituo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERENGETI BOYS YABADILISHWA KITUO, YAPANGIWA LIBREVILLE"

Post a Comment

Loading...