Loading...
title : SERIKALI YAAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA SEKTA SEKTA BUNIFU AFRIKA MASHARIKI , NIBAADA YA WADAU HAO KUKUTANA DAR.
link : SERIKALI YAAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA SEKTA SEKTA BUNIFU AFRIKA MASHARIKI , NIBAADA YA WADAU HAO KUKUTANA DAR.
SERIKALI YAAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA SEKTA SEKTA BUNIFU AFRIKA MASHARIKI , NIBAADA YA WADAU HAO KUKUTANA DAR.
mwambawahabari
Serikali ipo katika mchakato wa kuzipitia Sera mbali mbali ikiwemo Sera za Sanaa ili kuangalia no jinsi gani wasanii watanufaika na kazi za Sanaa.
Hayo yamesemwa jijjni Dar es salaam Jana na waziri wa Habari,Sanaa,utamaduni na michezo Dkt Harryson Mwakyembe alipokuwa akizungumza na wanahabari katika mkutano uliowakutanisha wadau mbali mbali wa sekta bunifu kutoka nchi za afrika mashariki jijini.
Dkt Mwakyembe amesema kuwa pia serikali inaendelea na mazungumzo kwa na wadau mbali mbali kwa kushirikisha wizara yake na wizara ya viwanda,biashara na uwekezaji ili kujadili namna ya kuanzishwa kwa mfuko wa Sanaa ambao utaisaidia sekta bunifu na wasanii hapa nchini.

Naye mkurugenzi wa taasisi ya CDEA,Ayeta Wangusa ambaye ni mwandaaji wa mkutano unaojulikana kama "MASHARIKI CREATIVE ECONOMY IMPACT INVESTMENT CONFERENCE" amewaambia wanahabari kuwa mkutano huo uliowakutanisha wadau mbali mbali kujadili ni jinsi gani sekta binafsi hasa Sanaa (sekta bunifu) inawekeza vya kutosha na kutoka katika uchumi wa nchi kwani biashara za Sanaa hazina mtaji katika uwekezaji hali inayowafanya wasanii kutengeneza bidhaa zao kwa bajeti ndogo na hatimaye kutokupata wanunuaji wengi na kutofikia lengo.
-
Mkutano huo wa Siku mbili unaotarajia kumalizika leo umewakutanisha wadau mbali mbali wa sekta bunifu kutoka nchi za Tanzania,Kenya,Uganda na Rwanda wakiwemo wakurugenzi,wanamitindo na serikali ili kujadili namna bora za kuikuza sekta bunifu katika nchi hizo na kuifanya sekta hiyo kuendelea kuchangia katika pato la Taifa.

Hivyo makala SERIKALI YAAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA SEKTA SEKTA BUNIFU AFRIKA MASHARIKI , NIBAADA YA WADAU HAO KUKUTANA DAR.
yaani makala yote SERIKALI YAAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA SEKTA SEKTA BUNIFU AFRIKA MASHARIKI , NIBAADA YA WADAU HAO KUKUTANA DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA SEKTA SEKTA BUNIFU AFRIKA MASHARIKI , NIBAADA YA WADAU HAO KUKUTANA DAR. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/serikali-yaahidi-kuzitafutia-ufumbuzi.html
0 Response to "SERIKALI YAAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO ZA SEKTA SEKTA BUNIFU AFRIKA MASHARIKI , NIBAADA YA WADAU HAO KUKUTANA DAR."
Post a Comment