Loading...

SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!

Loading...
SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI! - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!
link : SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!

soma pia


SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!

EFM redio kwa mara nyingine imehitimisha shindano la shika ndinga leo siku ya Jumamosi ya tarehe 6/5/2017 katika viwanja vya Tanganyika Packers - Kawe Jijini Dar es salaam ambapo washindi wawili wameondoka na magari aina ya Suzuki Carry maarufu kama Kirikuu ikiwa mmoja ni wa kiume na mwingine wa kike. 
Shindano hili lilianza tarehe 25/03/2017 ambapo lilifanyika katika wilaya 6 ambazo ni Kigamboni, Kinondoni, Temeke, Ilala, Bagamoyo na kibaha ambapo washindi wawili kutoka katika kila wilaya walizawadiwa Pikipiki kila mmoja aina ya Sanmoto. 
Efm redio kupitia shindano hili kwa ujumla limetoa pikipiki 12 pamoja na magari mawili ambayo hutumika katika shughuli za kiuchumi ikiwa kama njia ya kuwawezesha washindi kujiongezea kipato chao na kufanya maisha yao kukua kiuchumi.
 Burudani kutoka kwa Man Fongo, Sholo Mwamba, Madada 6, Virus, Yuda Msaliti na Chemical.
 Umati wa watu wakishuhudia shindano zima na burudani iliyoandaliwa na kituo cha E fm radio.

 Micheal Peter mshindi wa gari kwa upande wa wanaume akikabidhiwa mkataba na funguo wa gari lake na Bw Suleima Malele mkurugenzi wa uchumi na utawala alie mwakilisha Bi. Being’I Isaa Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)

Joyce Daniel mshindi wa Gari aina ya Suzuki Caryy aka Kirikuu kwa upande wa wanawake.
Washindi kutoka wilaya ya Kigamboni, Temeke, Kinondoni, Ilala ,Kibaha na Bagamoyo wakiwa kwenye Pikipiki 12 aina ya San moto ambazo walikabidhiwa.


Hivyo makala SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!

yaani makala yote SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI! mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/shindano-la-shika-ndinga-lafikia-tamati.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!"

Post a Comment

Loading...