Loading...
title : YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0
link : YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0
YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao la pili dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mchezaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya (kulia), akigombea mpira na Nurdin Chona katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam . Yanga ilishinda mabao 2-0.
Wanayanga wakishangilia ushindi
Hivyo makala YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0
yaani makala yote YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/yanga-yaipiga-prisons-2-0.html
0 Response to "YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0"
Post a Comment