Loading...
title : SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LASHEREHEKEA KUWASILI KWA NDEGE YAKE YA 10 AINA YA A380
link : SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LASHEREHEKEA KUWASILI KWA NDEGE YAKE YA 10 AINA YA A380
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LASHEREHEKEA KUWASILI KWA NDEGE YAKE YA 10 AINA YA A380
Wafanyakazi wa shirika la ndege la Etihad wakifurahia kuwasili kwa ndege yao ya 10 na ya Mwisho aina ya A380
Ndege ya Etihad A380s inatoa huduma kutokea nchi za uarabuni kwenda mji mkuu wa London, Sydney, New York na kuanzia tarehe 01/07/2017 watakua Paris.
Wafanyakazi wa shirika la Ndege la Etihad wakijumuika pamoja katika uwanja wa ndege wa Hamburg Finkenwerder nchini ujerumani barani Ulaya ambapo ndege hiyo ilizinduliwa rasmi na kukabidhiwa kwa shirika la ndege la uarabuni kabla ya kuanza safari zake za uwasilishaji nchini Abu Dhabi.
Ndege za aina ya A380s zilizojishindia tuzo kadhaa, ni ndege za kibiashara zenye utofauti wa kipekee kwenye huduma zao kama malazi –vyumba vitatu vyenye ukubwa wa kuweza kuishi watu mpaka wawili vikiwa na sebule, bafu binafsi na chumba cha kulalia. Ndege hizi pia zinajivunia kuwa na “appartments” 9, studio za biashara 70, mahala pa kupumzikia na siti nzuri 415 kwenye daraja la uchumi.
Hivyo makala SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LASHEREHEKEA KUWASILI KWA NDEGE YAKE YA 10 AINA YA A380
yaani makala yote SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LASHEREHEKEA KUWASILI KWA NDEGE YAKE YA 10 AINA YA A380 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LASHEREHEKEA KUWASILI KWA NDEGE YAKE YA 10 AINA YA A380 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/shirika-la-ndege-la-etihad-lasherehekea.html
0 Response to "SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LASHEREHEKEA KUWASILI KWA NDEGE YAKE YA 10 AINA YA A380"
Post a Comment