Loading...
title : Kesi ya Scorpion yaahirishwa tena
link : Kesi ya Scorpion yaahirishwa tena
Kesi ya Scorpion yaahirishwa tena
Jemah Makamba
KESI inayomkabili Salum Njwete ‘Scorpion’, ya kuiba, kujeruhi na kumtoboa macho Saidi Mrisho, imehairishwa tena na Mahakama ya Wilaya ya Ilala kutokana na Wakili wa mlalamikaji kukosekana mahakamani.
Mashitaka hayo yaliahirishwa kwa maombi ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Nassoro Katuga na Hakimu Flora Haule huku Wakili akidai kuwa upande wa Jamhuri imeandaa shahidi mmoja wa tisa.
"Shauri lilikuja kusikilizwa upande wa Jamhuri tulijiandaa na shahidi mmoja, lakini tunaomba tarehe nyingine kutokana na Wakili wa mshitakiwa kutokuwapo mahakamani," aliomba Katuga.
Hakimu Haule alikubali maombi hayo na kupanga Juni 8 kuwa siku ambayo kesi hiyo itatajwa na kutolewa siku ya kusikilizwa, huku mshitakiwa akirudishwa rumande.
Hivyo makala Kesi ya Scorpion yaahirishwa tena
yaani makala yote Kesi ya Scorpion yaahirishwa tena Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Scorpion yaahirishwa tena mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kesi-ya-scorpion-yaahirishwa-tena.html
0 Response to "Kesi ya Scorpion yaahirishwa tena"
Post a Comment