Loading...
title : SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA
link : SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA
SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA
Umati wa wakazi wa Jiji la Arusha na maeneo ya jirani ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid wakati wa zoezi la kuaga miili ya Wanafunzi 32, Walimu wawili na Dereva waliopoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Rhotia Wilayani Karatu hivi karibuni. Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ndie aliongonza zoezi hilo la kuaga.
Sehemu ya Jeneza zenye miili ya Wanafunzi 32, Walimu wawili na Dereva waliopoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Rhotia Wilayani Karatu hivi karibuni, zikiwa Uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid wakati wa zoezi la kuaga lililoongozwa na Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan.
Hivyo makala SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA
yaani makala yote SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/simanzi-yatawala-jiji-la-arusha-katika.html
0 Response to "SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA"
Post a Comment