Loading...
title : UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA
link : UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA
UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikagua timu ya ya mpira wa miguu ya Nyamagana baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikabidhi vifaa vya michezo kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bugogwa baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Mkurugenzi wa Nyanza Bottling, Christopher Gachuma na wa pili kushoto ni Afisa Msaidizi wa Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA
yaani makala yote UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/umisseta-copa-coca-cola-2017.html
0 Response to "UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA"
Post a Comment