Loading...

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Loading...
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
link : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

soma pia


SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI


SIMU.TV: Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi taifa Abdallah Bulembo, amemsimamisha kazi katibu msaidizi wa CCM wilayani Mbulu kutokana na ubadhirifu wa fedha; https://youtu.be/5Cdji3IKmOU

SIMU.TV: Mkoa wa Kagera umeanza kuchukua tahadhari kujikinga na ugonjwa hatari wa Ebola ambao umeanza kushambulia maeneo kadhaa nchini Congo DRC; https://youtu.be/IxVGRPd_Q18

SIMU.TV: Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo, macho na masikio wamewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo kwa wakazi wa mkoa huo; https://youtu.be/Zu3nPcQe_Mc

SIMU.TV: Mwenge wa uhuru umekamilisha mbio zake mkoani Mtwara kwa kufungua miradi kadhaa yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 10; https://youtu.be/AhD1kK-USRM

SIMU.TV: Baadhi ya wakulima wa zao la Tumbaku mkoani Tabora wameiomba serikali kuingilia kati tabia ya baadhi ya watumishi wa vyama vya msingi kuwabambikia madeni; https://youtu.be/4xyTkr1yWvM

SIMU.TV: Fahamu serikali ya Tanzania ilichoahidi kukifanya kwa wakazi wa kanda ya ziwa katika kumbukumbu ya vifo vya mamia ya watanzania kwenye ajali ya Mv Bukoba; https://youtu.be/UTdvPLf-nDM

SIMU.TV: Timu ya taifa ya vijana Serengeti boys inashuka dimbani usiku huu kuvaana na timu ya taifa ya vijana ya Niger kuwania nafasi ya kucheza nusu fainali; https://youtu.be/YAOM5WC6UDE

SIMU.TV: Tazama sehemu ya mapokezi waliyoyapata timu ya soka ya Yanga walipowasili jijini Dar Es salaam wakitokea mkoani Mwanza; https://youtu.be/MQQ_OB9SQrU

SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Dkt Alli Shein amezindua rasmi kampeni ya kuchangia fedha kwa lengo la kufufua michezo mashuleni visiwani humo; https://youtu.be/TwqRifhTIxM

SIMU.TV: Timu ya Azania ya Tanzania itashuka dimbani usiku huu katika uwanja wa Liverpool nchini Uingereza kuwania kombe la Standard Chartered; https://youtu.be/PHklpeoVOw8





Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/simu-tv-habari-kutoka-televisheni_21.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI"

Post a Comment

Loading...