Loading...
title : WADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA
link : WADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA
WADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba wakiyarudi magoma wakati walipokuwa wakiingia ukumbini katika tafrija maalum ya kuwapongeza kwa kuungana kwao iliyofanyika Jumamosi katika ukumbi wa Tausi uliopo Kiluvya kata ya Kisarawe mkoani Pwani.
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba wakipewa mikono ya pongezi
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba wakipongezwa
Maharusi katika picha ya pamoja na wazazi na ndugu wa karibu
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba na Mama mdogo Zamaradi Kawawa
Maharusi Zuberi Senzota Msemo na mkewe Bi Khadija Khamis Lyoba na mama wakubwa. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala WADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA
yaani makala yote WADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wadau-zuberi-senzota-na-bi-khadija.html
0 Response to "WADAU ZUBERI SENZOTA NA BI. KHADIJA KHAMIS WAMEREMETA"
Post a Comment