Loading...
title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
link : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Wachimbaji wadogo 4 wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi kwenye machimbo moja huko mkoani Geita; https://youtu.be/Et61swLXm6U
SIMU.TV: Wananchi wamekumbushwa kuwa wazalendo katika shughuli zao ili kuhakikisha mali na rasilimali za nchi yao hazipotei; https://youtu.be/pbYmzm7Ot4E
SIMU.TV: Askari mmoja amefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea kwa tetemeko dogo la ardhi mkoani Mwanza; https://youtu.be/8PLnuUdNXjQ
SIMU.TV: Waziri wa ardhi William Lukuvi amesema serikali itaendelea kuongeza hazina ya ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo uwekezaji; https://youtu.be/s3i-Bj3HaYc
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amemuagiza mkuu wa shule ya sekondari Mpitimbi kuwarudisha bwenini wanafunzi wake; https://youtu.be/IRXyNI0o6r0
SIMU.TV: Kampuni ya kutengeneza mkaa kwa kutumia Pumba ya RT imeendesha mafunzo kwa wanawake wajasiriamali ili watumie mkaa huo; https://youtu.be/sh42dZyQSXw
SIMU.TV: Wanawake wajasiriamali wa kata ya Mabwepande jijini Dar Es salaam wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo kuboresha maisha yao; https://youtu.be/xmMC3c9vQrY
SIMU.TV: Waziri wa fedha na mipango Dkt Philip Mpango amevitaka vikundi vya ujasiriamali vinavyopata mikopo kuhakikisha wanarudisha ili waweze kukopeshwa tena; https://youtu.be/xhz7ctaX7Pk
SIMU.TV: Shirikisho la mpira wa miguu TFF limetoa pongezi kwa watanzania wote kwa namna walivyoiunga mkono timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys; https://youtu.be/kQoOQqxLxiQ
SIMU.TV: Timu ya Mbao FC ya mkoani Mwanza imesema kuwa inataka kuandika historia mpya kwenye soka kwa kuifunga Simba kwenye Fainali ya kombe la shirikisho; https://youtu.be/SJS1nNB9mLE
SIMU.TV: Klabu ya Manchester United imekata tiketi ya kucheza klabu bingwa barani Ulaya baada ya kuitandika Ajax kwa mabao mawili kwa bila; https://youtu.be/_df1s20Hxw8
Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/simu-tv-habari-kutoka-televisheni_25.html
0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI"
Post a Comment