Loading...
title : Wahitimu 30 wa Kidatu Cha Sita Kisiwani Pemba Waliopata Division One Watunikiwa Zawadi.
link : Wahitimu 30 wa Kidatu Cha Sita Kisiwani Pemba Waliopata Division One Watunikiwa Zawadi.
Wahitimu 30 wa Kidatu Cha Sita Kisiwani Pemba Waliopata Division One Watunikiwa Zawadi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othaman mara baada ya kuwasili, katika Hoteli ya Pemba Misali Sanset Beach kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wanafunzi 30 wa Pemba waliopata daraja la kwanza katika mitihani ya Kidato cha sita mwaka 2018.
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla wa kwanza kulia, akimuongoza waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali zanzibar Riziki Pembe Juma, kwenda katika ukumbi kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wanafunzi 30 wa Pemba, waliofanya vizuri katika mitihani yao ya kidato cha Sita na Kupata daraja la kwanza 2018
Hivyo makala Wahitimu 30 wa Kidatu Cha Sita Kisiwani Pemba Waliopata Division One Watunikiwa Zawadi.
yaani makala yote Wahitimu 30 wa Kidatu Cha Sita Kisiwani Pemba Waliopata Division One Watunikiwa Zawadi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wahitimu 30 wa Kidatu Cha Sita Kisiwani Pemba Waliopata Division One Watunikiwa Zawadi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/wahitimu-30-wa-kidatu-cha-sita-kisiwani.html
0 Response to "Wahitimu 30 wa Kidatu Cha Sita Kisiwani Pemba Waliopata Division One Watunikiwa Zawadi."
Post a Comment