Loading...
title : SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.
link : SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.
MwambawahabariSpika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda na kulia ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda (kushoto)akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi (kulia)akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akipiga picha ya pamoja na ugeni kutoka UDART, kulia ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda na kushoto ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.
yaani makala yote SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/spika-wa-bunge-akutana-na-ugeni-kutoka.html
0 Response to "SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA UDART LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA."
Post a Comment