Loading...

SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA

Loading...
SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA
link : SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA

soma pia


SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA

Mwambawahabari
A
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Yanga  Leo wameingia mkataba na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa  na kuwa klabu ya pili kudhaminiwa baada ya watani zao Simba kuwa wa kwanza kuingia kwenye udhamini huo.
Mkataba huo utakuwa ni wa miaka mitano na utagharimu kitita cha Sh bilioni 5.173 huku mwaka wa kwanza Yanga ikiingiza Sh milioni 950.
Mkataba huo umesainiwa  katika makao makuu ya klabu ya Yanga mbele ya waandishi wa habari ambapo SportPesa wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa SportPesa,Pavel Slavkov pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa SportPesa,Abbas Tarimba huku Yanga waliongozwa na Makamu mwenyekiti Clement Sanga na Katibu Mkuu Bonifance Charles Mkwasa.
Makubaliano hayo yatahusisha kuwepo kwa nembo ya SportPesa kwenye jezi za klabu kuanzia msimu ujao wa Ligi yaani 2017-18 hadi 2021-22.
Mmoja wa Wakurugenzi wa Yanga, Abbas Tarimba amesema leo kuwa mkataba wa Yanga na ule wa Simba haina tofauti na bingwa msimu ujao atalipwa Sh milioni 100 kutoka SportPesa. “Kwa yule atakayefanikiwa kuchukua ubingwa wa Afrika, yeye tutatoa Sh milioni 250, hii ni sehemu ya bonus kwenye mkataba,” alisema.
Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga aliwashukuru SportPesa kuungana nao.
“Tunaamini ni sehemu ya kuleta mabadiliko, wamekuja kuunga nasi, tumewapokea na tunawaahidi ushirikiano. Hii ni kati ya kampuni nimeona kwa mara ya kwanza tumejadili mambo mengi. Mengine yatatokea huko mbele lakini ni mambo ya maendeleo,” alisema.
SportPesa ilianzishwa mwaka 2014 nchini Kenya na kuanzishwa kwake imefanikiwa kukua kimataifa kwa kushirikiana na timu kubwa za England ambapo wana mikataba na Hull City,Everton,Arsenal na Southampton pamoja na Ligi Kuu ya Hispania.


Hivyo makala SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA

yaani makala yote SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/sportpesa-waingia-mkataba-mnono-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPORTPESA WAINGIA MKATABA MNONO NA KLABU YA YANGA"

Post a Comment

Loading...