Loading...
title : WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA.
link : WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA.
WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA.
Mwambawahabari Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Song,Geum-young akizungumza na washiriki wa Tamasha la Ngoma za asili za nchi hiyo (hawapo pichani) jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watazamaji kutoka Jamhuri ya Korea na Tanzania wakifuatilia ngoma mbalimbali zilizokuwa zikioneshwa katika Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wa nne kulia waliosimama) akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa ngoma za asili kutoka Jamhuri ya Korea wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM
Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA.
yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-mwakyembe-azindua-tamasha-la_17.html
0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA."
Post a Comment