Loading...
title : TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA
link : TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA
TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA
CHANZO CHA AJILI NI MWENDO KASI KWA MADEREVA WOTE WAWILI HALI ILIYOPELEKEA KUISHINDWA KUMUDU PIKIPIKI ZAO NA KUSABABISHA AJALI KUTOKEA, MBAYA ZAIDI MADEREVA WOTE WALIKUWA HAWAJAVAA KOFIA NGUMU. MAJERUHI WAMELAZWA HOSPITALI YA BUKUMBI KWA AJILI YA MATIBABU LAKINI HALI ZAO BADO SIO NZURI, MWILI WA MAREHEMU TAYARI UMEFANYIWA UCHUNGUZI NA KUKABIDHIWA KWA NDUGU WA MAREHEMU KWA AJILI YA MAZISHI.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA NAIBU KAMISHINA WA POLISI AHMED MSANGI ANATOA WITO KWA WAENDESHAJI WA VYOMBO VYA MOTO HUSUSANI PIKIPIKI AKIWATAKA KUFUATA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA USALAMA BARABARANI PINDI WAWAPO BARABARANI ILI KUEPUSHA VIFO NA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.
IMETOLEWA NA:
DCP; AHMED MSANGI
KAMANDA WA POLISI (M) MWANZA
Hivyo makala TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA
yaani makala yote TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/taarifa-kutoka-jeshi-la-polisi-mkoa-wa.html
0 Response to "TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA"
Post a Comment