Loading...
title : Dk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti
link : Dk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti
Dk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti
MwambawahabariRais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiuliza suala wakati alipotembelea kampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Mawasiliano na huduma za Mitandao Bw.Abdi Youssoef wakati alipotembelea katika Ofisi ya kampuni Telecom Nchini Djibouti akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa kampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti wakati alipotembelea katika Ofisi ya kampuni hiyo akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]
Hivyo makala Dk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti
yaani makala yote Dk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/dkshein-atembelea-kampuni-ya-simu-ya.html
0 Response to "Dk.Shein atembelea Kampuni ya Simu ya Telecom nchini Djbouti"
Post a Comment