Loading...
title : Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri.
link : Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri.
Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri.
Tangazo la Kupotelewa
Tangazo kwa Mtu yoyote aliyookota Vitambulisho vya Ndg Mussa Rajab Kheri, vilivyompoteka katika maeneo ya Barabara ya Maruhubi kuelekea Fuoni morocco kupitia uwanja wa nome mpaka kisima mkuyu Mjini Unguja jana.
Vitambulisho vilivyopotea ni pamoja ya leseni ya Udereva, Kadi za ATM za Benki 3, Vitambulisho vya Bima ya Afya 3.
Kwa yoyote alivyoviokota anaombwa kuwasiliana na Ndg Mussa Rajab Kheri kwa namba ya simu 0777457701 au kuvipeleka Kiwanda cha Soda Maruhubi Zanzibar.
Au kuvipeleka Osifi za Gazeti la Zanzibar leo Kikwajuni Maisara
na kuwasiliana na Othman Maulid.
Kumawasiliano Piga Namba Hizii
0777424152
0777457701
Au kuvipeleka Osifi za Gazeti la Zanzibar leo Kikwajuni Maisara
na kuwasiliana na Othman Maulid.
Kumawasiliano Piga Namba Hizii
0777424152
0777457701
Hivyo makala Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri.
yaani makala yote Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tangazo-la-kupotelewa-na-vitambulisho.html
0 Response to "Tangazo la Kupotelewa na Vitambulisho Vya Ndg Mussa Rajab Kheri."
Post a Comment