Loading...
title : TANZIA: Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta afariki dunia
link : TANZIA: Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta afariki dunia
TANZIA: Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta afariki dunia
Familia ya Marehemu Mh. Samuel Sitta inawatangazia ndugu, jamaa, majirani na marafiki kuwa imepata pigo la kuondokewa na Mdogo wa Marehemu Mhe. Samuel Sitta, ambaye alikuwa Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta.
Marehemu Peter Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumamos katika hospital ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam. Msiba upo Masaki nyumbani kwa Hayati Samuel Sitta Mtaa wa Twiga Karibu na Makao makuu ya UNHCR jijini Dar es salaam.
Bwana ametoa,
Bwana ametwaa.
Jina lake na lihimidiwe.
AMEN
Hivyo makala TANZIA: Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta afariki dunia
yaani makala yote TANZIA: Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA: Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta afariki dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tanzia-meya-wa-mji-mdogo-wa-urambo-ndg.html
0 Response to "TANZIA: Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg. Peter Sitta afariki dunia"
Post a Comment