Loading...
title : DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA JIJINI DAR ES SALAAM
link : DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA JIJINI DAR ES SALAAM
DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harisson Mwakyembe akikagua timu za Sekondary zilizoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harisson Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa timu za Sekondari zilizoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA Dar es Salam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa kampuni ya Coca-Cola Bw. Eric Ongara akiongea machache wakati wa ufunguzi wa michezo ya Copa/UMISSETA ambayo inashirikisha shule za Sekondari za Serikali na Binafsi mwishoni mwa wiki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harisson Mwakyembe akifungua michezo ya Copa/UMISSETA ambayo inashirikisha shule za Sekondari za Serikali na Binafsi mwishoni mwa wiki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Taarifa kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/dkt-mwakyembe-afungua-mashindano-ya.html
0 Response to "DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment