Loading...

TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI

Loading...
TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI
link : TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI

soma pia


TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI

Mwambawahabari
Wazalishaji wadogo wadogo wa
bidhaa nchini wameshauriwa
kutumia fursa ya bure ya ukaguzi wa bidhaa zao inayotolewa na Shirika la
Viwango Tanzania TBS.
 
Hayo
yamesemwa na Afisa Masoko Mwandamizi kutoka katika shirika hilo,Gladnes
Kaseka pichani kushoto juu wakati akiongea na waandishi wa habari
kwenye maonyesho ya tano
ya biashara ya Mkoa wa Tanga .
 
Alisema
kuwa licha ya TBS kutoa fursa hiyo lakini bado wazalishaji wadogo na
wakati wameshindwa kuitumia fursa hiyo kwa ukamilifu wake na kusababisha
kuendelea kuwepo kwa bidhaa ambazo hazina nembo ya ubora.
 
“Bado
wazalishaji wetu wengi hawajaweza kuifikia fursa hiyo ambayo itaweza
kuwasaidia kuhakikisha wanazalisha bidhaa zenye ubora lakini wataweza
kuingiza bidhaa zao kwa urahisi katika masoko ya ushindani tofauti na
sasa” alisema Kaseka.
 
Aidha
alisema kuwa bado wanaendelea na jitihada za kuhakikisha wanaziondosha
katika soko bidhaa ambazo ni hafifu kwa kufanya ukaguzi wa Mara kwa Mara
katika masoko na maeneo yote yanayohusika na shughuli za uuzaji wa
bidhaa.
 
Nae
Mfanyabiashara Aisha Kisoki alisema kuwa changamoto kubwa ni muingiliano
wa bidhaa kutoka nje ambazo kwa hapa nchini zinauzwa kwa bei rahisi
tofauti na wanazozizalisha.
 
Alisema
kuwa iwapo TBS wataweza kudhibiti uingiaji usio rasmi wa bidhaa kutoka
nje utasaidia sana wafanyabiashara wa ndani ya nchi kuona umuhimu wa
kuweka nembo bidhaa zao.


Hivyo makala TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI

yaani makala yote TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/tbs-yawashauri-wazalishaji-wadogo_31.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TBS YAWASHAURI WAZALISHAJI WADOGO WADOGO WA BIDHAA KUTUMIA FURSA YA BURE YA UKAGUZI"

Post a Comment

Loading...