Loading...

KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI

Loading...
KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI
link : KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI

soma pia


KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
MBUNGE wa Ubungo Mhe. Saed Kubenea, amewasilisha bungeni hoja binafsi, kutaka kufanyika mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, ili kuruhusu kuundwa kwa “Tume Huru ya Uchaguzi.
Kubenea ambaye leo amewaita Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam na kuwaeleza kwanini ameamua kupeleka muswada huo katika bunge hili linaloanza Aprili 1, 2018.
 Mhe. Kubenea amesema, uchaguzi huru na haki hauwezi kufanyika nchini bila kuwapo na chombo huru cha kusimamia na kuendesha chaguzi hizo.
“Hoja kwamba NEC siyo chombo huru, siyo maneno yangu pekee. Haya yameelezwa vizuri na wanazuoni mbalimbali, ikiwamo Tume ya Jaji Francis Nyalali ambayo iliundwa na Rais wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, mwaka 1991.tume hii ya Jaji Nyalali ndio iliyokuja kupendekeza kuwapo kwa mfumo wa vyama vingi nchini,’’Amesema Kubenea.
 Aliongeza kuwa mwaka 1999, Tume iliyoundwa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa kuratibu maoni ya wananchi kuhusu Katiba ilipigilia msumali mwingine kuhusu muundo wa sasa wa NEC iliyoongozwa na Jaji Robert Kisanga.
Kwenye ripoti ya Jaji Kisanga alisema “hatua ya wajumbe wa Tume kuteuliwa na Rais ambaye pia aweza kuwa kiongozi wa chama cha siasa kinachotawala, katika utendaji wao wa kazi ama watakuwa na upendeleo kwa chama husika au watakuwa wanalipa fadhila 
 Mbunge wa Ubungo Mhe. Saeed Kubenea akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Hoja yake aliyowasilisha bungeni kutaka iundwe  tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.
 Mbunge wa Bukoba Mjini  Mhe. Willfred Rwakatale, akichangia jambo wakati Kubenea alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kuwasilisha hoja ya kuwepo kwa tume huru ya Uchaguzi.
 Mbunge wa Moshi Vijini Mhe. Antony Komu  akichangia jambo baada ya Kubenea kuzungumza na Waandishi wa Habari juu kuwasilisha Hoja Binafsi.
Sehemu ya Waandishi wa Habari walioudhuria Mkutano huo 


Hivyo makala KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI

yaani makala yote KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/03/kubenea-awasilisha-muswada-wa-kutaka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUBENEA AWASILISHA MUSWADA WA KUTAKA MABADILIKO YA KATIBA BUNGENI"

Post a Comment

Loading...