UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZIlink :
UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI
UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (Mbele) akihutubia maelfu ya wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Arusha zinazoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA, katika ufunguzi wa mashindano hiyo mkoani Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (Mbele) akiambatana na Meneja wa Mauzo wa Coca-Cola kwa Jiji la Arusha Boniface Mwasi, wakisalimia wachezaji wa moja ya timu za sekondari zinazoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA, katika ufunguzi wa mashindano hiyo mkoani Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo (Kushoto) akisalimia moja ya timu ya shule za sekondari kutoka mkoa wa Arusha, katika ufunguzi wa mashindano ya Copa Umisseta mkoani hapa yaliyofanyika mwisho wa wiki katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ambapo kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola iligawa vifaa mbali mbali vya michezo kwa shule za serikali na binafsi kwa ajili ya ushiriki wa michuano yam waka huu.
Hivyo makala UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI
yaani makala yote UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/umisseta-arusha-yapamba-moto-baada-ya.html
0 Response to "UMISSETA ARUSHA YAPAMBA MOTO BAADA YA UZINDUZI"
Post a Comment