Loading...

NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI

Loading...
NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI
link : NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI

soma pia


NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limewatangaza waamuzi watakaochezesha  mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba utakaopigwa siku ya Jumatano kuanzia saa 11 jioni katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam.

Mchezo huo wa ufunguzi wa ligi unatarajiwa kuchezeshwa na Mwamuzi Bora wa msimu wa 2016/17 Hery Sasii kutoka Dar es salaam akisaidiwa na Ferdinand Chacha  wa Arusha pamoja Hellen Mduma wa Dar es salaam.

Pamoja na hilo, TFF imemzuia  kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa kucheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Jumatano.

Ofisa Habari wa TFF, Alfred Lucas amesema leo katika mkutano na Waandishi wa Habari mjini Dar es Salaam kwamba, Chirwa hawezi kucheza kesho kwa sababu katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbao FC alimsukuma refa mjini Mwanza.

“Chirwa atakukosa mchezo wa Jumatano dhidi ya Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa saa 11:00 mjini Dar es Salaam kutokana na kesi inayomkabili ya kumsukuma mwamuzi aliyechezesha mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu dhidi ya Mbao FC,”alisema.

Lucas amesema mshambuliaji aliyejiunga na Yanga msimu uliopita kutoka PF Platinums ya Zimbabwe amesema atalazimika kuendelea kuwa nje hadi hapo Kamati ya Masaa 72 itakapokutana na kutoa maamuzi dhidi yake.

Viingilio katika mchezo huo ni Sh. 7,000 kwa viti vya rangi ya kijani na bluu, 10,000 Viti vya Orange, 20,000 kwa VIP B ba 25 kwa VIP A .6/17 


Hivyo makala NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI

yaani makala yote NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/ngao-ya-jamii-sasa-kupigwa-saa-11.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NGAO YA JAMII SASA KUPIGWA SAA 11 ALASIRI"

Post a Comment

Loading...