Loading...

Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii

Loading...
Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii
link : Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii

soma pia


Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii







Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwakaribisha Wasnaii hao katika Hotel ya Ramada Incore jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akikabidhi zwadi ya Tisheti kwa wageni hao ambao wamekuja kutalii nchini

Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwa katika picha ya pamoja na wasnii kutoka nchini china.
--


Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen, wakishuka kwenye gari ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa Jijini Dar es Salaam wakitokea nchini China kwa ajili ya kutembelea mbuga za Wanyama hapa nchini na Vivutio vya kitalii.

Msani kutoka nchini China,Yao Di akitoka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya ziara maalum katika vivutio mbalimbali nchini

Msani kutoka china akicheza ngoma za Asili na kundi la Sanaa la Wanne Star

Mmoja wa Wasanii kutoka nchini China akifurahi na kundi hilo la Wasaniiwa Wanne Star

Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen wakicheza ngoma kwa pamoja na kikundi cha Sanaa za utamaduni hapa nchini cha Wanne Star

Msani kutoka nchini China,Yao Di akicheza ngoma za asili na kikundi cha Wanne Star

Wasanii hao wakipiga picha na nyoka

Wasanii hao wakipiga picha na nyoka




Wasanii hao wakipiga picha na nyoka


Hivyo makala Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii

yaani makala yote Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/utalii-kundi-la-wasanii-7-kutoka-china.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Utalii : Kundi la Wasanii 7 kutoka China Watua Tanzania kwa Shughuli za Utalii"

Post a Comment

Loading...