Loading...
title : Wakuu wa Mikoa Zanzibar Wahimiza Uimarishaji Zao la Karafuu, Kuimarisha Uchumi
link : Wakuu wa Mikoa Zanzibar Wahimiza Uimarishaji Zao la Karafuu, Kuimarisha Uchumi
Wakuu wa Mikoa Zanzibar Wahimiza Uimarishaji Zao la Karafuu, Kuimarisha Uchumi
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dr. Idrisa Muslim Hija amelishauri Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kuangalia uwezekano wa kuanzisha taasisi maalum itakayoshughulikia tafiti za kitaalamu juu ya zao la karafuu.
Alitoa ushauri huo wakati akizungumza na Wakulima na Wadau wa zao la karafuu katika mkutano maalum ulioandaliwa na Shirika la ZSTC kwa Wakulima na wadau wa zao hilo Mkoa wa Kusini Unguja.
Alisema kutokana na zao la karafuu kuendelea kuwa uti wa mgongo wa uchumi wa nchi na wananchi wake ambapo wananchi wengi wanaonyesha nia na ari ya kulima zao hilo hivyo wanahitaji msaada mkubwa wa kitaalamu juu ya ukulima wa zao hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dr. Idrisa Muslim Hija akimkabidhi kitambulisho cha ukulima wa zao la karafuu Mmoja kati ya wakuliwa wa zao hilo.
Baadhi ya Wakulima wa zao la karafuu Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mkoa huo. Habari kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala Wakuu wa Mikoa Zanzibar Wahimiza Uimarishaji Zao la Karafuu, Kuimarisha Uchumi
yaani makala yote Wakuu wa Mikoa Zanzibar Wahimiza Uimarishaji Zao la Karafuu, Kuimarisha Uchumi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wakuu wa Mikoa Zanzibar Wahimiza Uimarishaji Zao la Karafuu, Kuimarisha Uchumi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wakuu-wa-mikoa-zanzibar-wahimiza.html
0 Response to "Wakuu wa Mikoa Zanzibar Wahimiza Uimarishaji Zao la Karafuu, Kuimarisha Uchumi"
Post a Comment