Loading...

SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS.

Loading...
SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS.
link : SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS.

soma pia


SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS.

Mwambawahabari

17
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha shukrani toka kwa Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri, Sportpesa  imetoa Cheti cha Shukrani kwa Makamu wa Rais kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umechangia kuitangaza nchi kwenye michezo na utalii duniani, Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa  Tanzania Bw. Abbas Tarimba (katikati), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto.
19
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Sportpesa Kenya Bw. Ronald Karauri (kushoto) Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji Sportpesa  Tanzania Bw. Abbas Tarimba (kulia), afisa Uhusiano Sportpesa Tanzania,Bi. Sabrina Msuya wa pili kulia na Mkuu wa Operesheni Sportpesa Tanzania Bw. Lucas Neghesti wa pili kushoto ambao walimkabidhi Makamu wa Rais Cheti cha Shukrani kwa ushiriki wake wakati wa ujio wa timu ya Everton nchini ambao umehamasisha michezo na utalii.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
……………
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amepokea Cheti cha Shukrani kutoka kwa SportPesa kutokana na mchango ushiriki wake wakati wa Ziara ya Everton nchini, akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Bw. Abbas Tarimba amesema mara baada ya ziara ya Everton jina la nchi yetu limekuwa likizungumzwa kila mahala duniani.
Makamu wa Rais alisema ni jukumu la kila kiongozi Tanzania kuhakikisha nchi inapiga hatua katika kila sekta hivyo ushiriki wao katika mambo ya msingi yatasaidia nchi kukua na kuiletea maendeleo.


Hivyo makala SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS.

yaani makala yote SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/sportpesa-wampa-cheti-cha-shukrani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPORTPESA WAMPA CHETI CHA SHUKRANI MAKAMU WA RAIS."

Post a Comment

Loading...