Loading...
title : WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO
link : WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO
WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO
--
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Jaji Thomas Mihayo akizungumza katika mkutano mfupi uliofanyika katika Stesheni ya Tazara jijini Dar es Salaam,kuhusu ujio wa Wasanii nyota saba kutoka nchini China na wapiga picha 100,ambao pia walitembelea Treni ya TAZARA na kujionea mambo mbalimbali yaliyokuwa yakinyika hapo.
Baadhi ya Wasanii hao Nyota wakiwasili katika Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam
aziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akizungumza wakati wa kuwakaribisha wasanii hao nyota kutoka nchini China
Muongoazaji wa filamu ya siri za familia akitoa Salamu za Wasanii hapa nchini
Wasanii hao Nyota wakiwa wameketi kwa pamoja wakati wa mkutano
Wasanii hao ikawakiwa katika kurekodi sehemu ya vipindi vitakavyorushwa katika cheneli za nchini China
Hivyo makala WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO
yaani makala yote WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wasanii-nyota-saba-kutoka-china-na.html
0 Response to "WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO"
Post a Comment