Loading...
title : WATANZANIA WAMETAKIWA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA MBALIMBALI-BONIFACE
link : WATANZANIA WAMETAKIWA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA MBALIMBALI-BONIFACE
WATANZANIA WAMETAKIWA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA MBALIMBALI-BONIFACE
Watanzania wameaswa kuisaidia serikali katika kutatua changamoto katika sekta mbalimbali ili kujiletea maendeleo kwa haraka, badala ya kusubiri kila jambo lifanywe na serikali.
Kauli hiyo imetolewa na Mdau wa maendeleo Boniface Myalla wakati alipotembelea shule ya Msingi Kunguru iliyopo Goba na kugawa Daftari kwa wanafunzi 300 wa darasa la kwanza.
Mayala amesema, Watanzania hawana budi kuunga mkono jitihada zinazofanywa na serikali inayoongozwa na Rais Dk.John Pombe Magufuli za kuhakikisha inaleta maendeleo na huduma bora kwa wananchi.
"Serikali imetekeleza jukumu lake la kutoa elimu bure, imekuwa ikitoa fedha kwa ajili ya wanafunzi kusoma bure, sasa imebaki upande wetu wazazi na walezi kuwawezesha wanafunzi kupata vifaasaidizi," amesema.
Amesema lengo la kutoa madaftari hayo ni kuunga mkono serikali ya Rais Dk. John Pombe Magufuli katika dhamira yake ya kuhakikisha Tanzania mpya inajengeka, Tanzania ambayo kila Mtanzania atanufaika na nchi yake lakini pia kupata elimu bora.
Akizungumza baada ya kupokea zawadi hizo, Mwalimu wa wanafunzi hao, Sikujua Ramadhani amemshukuru Myala na kuiomba serikali na wadau wengine kujitokeza na kutoa msaada ili kukamilisha malebgo na ndoto za wanafunzi. Amesema wapo wanafunzi walikjuwa wakishindwa kuandika kwa kukosa madaftari na vifaa vingine vya kujifunzia hivyo ujio wa madaftari hayo utapunguza kero changamoto hiyo.

Mdau wa maendeleo Boniface Myala akizungumza na wanafunzi alipotembelea shule ya Msingi Kunguru Goba na kugawa madaftari kwa wanafunzi 300 wa darasa la kwanza leo jijini Dar es Salaam.
Mdau wa maendeleo Boniface Myala akikabidhi daftari kwa Mwalimu wa wanafunzi hao, Sikujua Ramadhani leo jijini Dar es Salaam.(picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)
Mdau wa maendeleo Boniface Myala akigawa daftari kwa wanafunzi wa darasa la kwanza wa shule ya Msingi Kunguru Goba . Leo jijini Dar es Salaam.

Hivyo makala WATANZANIA WAMETAKIWA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA MBALIMBALI-BONIFACE
yaani makala yote WATANZANIA WAMETAKIWA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA MBALIMBALI-BONIFACE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WAMETAKIWA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA MBALIMBALI-BONIFACE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/watanzania-wametakiwa-kuisaidia.html
0 Response to "WATANZANIA WAMETAKIWA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO KATIKA SEKTA MBALIMBALI-BONIFACE"
Post a Comment