Loading...

WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47

Loading...
WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47
link : WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47

soma pia


WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.

Watu wawili, Ally Sadick na Anna Kimaro, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kuharibu mali ya milioni 47.

Hata hivyo, washtakiwa watatu wanaodaiwa kutenda kosa pamoja na hao hawakuweza kufika mahakamani na bado wanatafutwa.

Wakili wa Serikali, Patrick Mwita amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa washtakiwa hao ni Omary Sadick, Tumsifu Kimaro na Steven Kimaro ambao wanaendelea kutafutwa ili waweze kukabiliana na kesi hiyo.

Katika kesi hiyo imedaiwa kuwa, huko katika eneo la Kunduchi Mtongani wilaya ya Kinondoni washtakiwa waliharibu nyumba mbili, choo na miti ya minazi mitatu vyote vikiwa na thamani milioni 47 mali ya Mohamed Mshindo.

Baada ya kusomewa shtaka hilo, walikana na upelelezi bado haujakamilika.

Mahakama imewaamuru washtakiwa kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika ambao kila mmoja asaini dhamana milioni 10.

Kesi imeahirishwa hadi Juni 13, mwaka huu.


Hivyo makala WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47

yaani makala yote WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/wawili-wapandishwa-kizimbani-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAWILI WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUDAIWA KUHARIBU MALI YA MILIONI 47"

Post a Comment

Loading...