Loading...
title : Waziri George Simbachawene na Harrison Mwakyembe Waongoza Kikao cha Uchangishaji Fedha za UMISETA na UMITASHUMTA
link : Waziri George Simbachawene na Harrison Mwakyembe Waongoza Kikao cha Uchangishaji Fedha za UMISETA na UMITASHUMTA
Waziri George Simbachawene na Harrison Mwakyembe Waongoza Kikao cha Uchangishaji Fedha za UMISETA na UMITASHUMTA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. George Simbachawene (aliyesimama mbele) akiongea na wadau toka Mashirika na Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi kuhamasisha uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kuendeleza michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA 24 Mei, 2017 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyekaa mbele kulia) akiwashukuru wadau mbalimbali toka Mashirika na Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi wakati wa uchangiaji wa fedha kwa ajili ya kuendeleza michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA 24 Mei, 2017 Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. George Simbachawene pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali toka Mashirika na Taasisi mbalimbali za Serikali na Binafsi wakati wa hafla ya uchangiaji fedha kwa ajili ya kuendeleza michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA 24 Mei, 2017 Jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)
Hivyo makala Waziri George Simbachawene na Harrison Mwakyembe Waongoza Kikao cha Uchangishaji Fedha za UMISETA na UMITASHUMTA
yaani makala yote Waziri George Simbachawene na Harrison Mwakyembe Waongoza Kikao cha Uchangishaji Fedha za UMISETA na UMITASHUMTA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri George Simbachawene na Harrison Mwakyembe Waongoza Kikao cha Uchangishaji Fedha za UMISETA na UMITASHUMTA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-george-simbachawene-na-harrison.html
0 Response to "Waziri George Simbachawene na Harrison Mwakyembe Waongoza Kikao cha Uchangishaji Fedha za UMISETA na UMITASHUMTA"
Post a Comment