Loading...

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA

Loading...
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA
link : WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA

soma pia


WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi ametembelea Ubalozi wa Tanzania Nairobi Kenya na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania Nchini Kenya Mheshimiwa Balozi Mteule Dkt. Pindi Hazara Chana.

Prof. Kabudi alifanya ziara hiyo tarehe 4/5/2017 wakati akihudhuria Mkutano wa 56 wa Mwaka wa Jumuiya ya Mashauriano ya Masuala ya Kisheria ya Nchi za Asia na Afrika (Asian-African Legal Consultative Organisation –AALCO) unaofanyika mjini Nairobi.

Katika ziara hiyo Prof. Kabudi aliongozana na Mheshimiwa Balozi Baraka Luvanda Balozi Mteule wa Tanzania Nchini India yalipo makao makuu ya Jumuiya hiyo na maafisa wengine wa Wizara ya Mambo ya Nje.

Prof. Kabudi alimpongeza Balozi Pindi Chana kwa uteuzi na alishukuru kwa maandalizi waliyoyafanya kuhakikisha ujumbe wa Tanzania unashiriki ipasavyo mkutano huo. Vile vile alimuhakikishia kuwa Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na taasisi zake zitampa ushirikiano stahiki katika utekelezaji wa majukumu yake, na kwamba Ubalozi uwe tayari kwa kufuata taratibu zilizopo kiserikali kuwasiliana na Wizara pindi yanapoibuka masuala yanayohitaji ushiriki wa Wizara.

Kwa upande wake Balozi Dkt. Pindi Chana alimshukuru Prof. Kabudi kwa kutenga muda kuja kuutembelea Ubalozi na kumpongeza kwa uteuzi alioupata. Balozi Chana alimuahidi Prof. Kabudi kuwa Ubalozi utaendelea kushirikiana ipasavyo na Wizara kwa kutumia taratibu zilizopo utahakikisha kuwa masuala ya Wizara yanaifikia Wizara kwa wakati. 





Hivyo makala WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA

yaani makala yote WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/waziri-wa-katiba-na-sheria-prof_4.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. PALAMAGAMBA KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA"

Post a Comment

Loading...